Timu ya yanga imerejea leo nyumbani kutoka nchini Angola ambapo imefanikiwa kusonga mbele kombe la shirikisho baada ya kushinda kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya timu ya Esperanga ya Angola
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.