Ni siku ya jana Samia S. akiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi Monduli alipokelewa na Mafuriko ya Wamasai..
Ndugu Watanzania usipoteze kura yako
Chagua Magufuli ✔
Mchapakazi, Muadilifu na Mfuatiliaji
Chama cha Mapinduzi 👍
Ni siku ya jana Samia S. akiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi Monduli alipokelewa na Mafuriko ya Wamasai..
Ndugu Watanzania usipoteze kura yako
Chagua Magufuli ✔
Mchapakazi, Muadilifu na Mfuatiliaji
Chama cha Mapinduzi 
Kwa CCM mafuriko ni identification parade? Line moja kama ya waimba kwaya ni mafuriko shame on you CCM. Kisha mmewahonga jezi ya team inayoshuka daraja. Mfe mzikane tu mwaka huu.
Teh! Teh! Hicho ni kikundi cha akina mama wa kimasai wanaolipwa kwa kucheza ngoma. Ukiwa na shughuli yako unaonana na kiongozi wao,mnapatania. Hao mama wako kazini wala hawahusiki na Mgombea.Ni sawa na kuwaalika wale wanaolia msibani,huko wanajua hawamjui marehemu.