GE2025 Mapokezi ya Rais Samia Ndanda-Mtwara, MC anaendelea kuweuka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,220
Reaction score
3,802
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC

Ingekuwa vyema pia akiweuka akili kidogo kwa kupambania Maslahi ya nchi yake na siyo kupamba mtu anayesimamia kuporomoka kwa nchi nakushupaza shingo kutosikiliza vilio vya wananchi

Soma pia GE2025 - Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?
----------------

Maafisa usafirishaji wampokea Dkt. Samia Suluhu Hassan Ndanda na kumsindikiza kwenye mkutano wa kampeni kwa mbwembwe na shangwe la aina yake

Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.
 
Wanaompoteza huyu bibi ni hawa chawa, watu wengi hawajagundua hili, chawa ndio wa ku deal nao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…