Tanzania huwa tunajiabisha tu...
Yaani ki Airbus tu ambapo Kuna watu wanazinunua kama private, Kuna Nchi zinaagiza ndege 200 kwa wakati mmoja lakini hawana hizi mbwe mbwe...
Hivi ni ushamba au umasikini...
Airbus ndogo hizo wanataka mpaka dunia ione... Wanaudhi...
Viongozi kwenye hio sherehe wasimame wote kwa pamoja wajipige kifuani mara 7, waseme sisi ni ......
Haiwezekani 21st century taifa linafanya sherehe kulete Airbus ndogo wakati watu wanapeleka vehicles sayari ya mars... Hivi hatuoni aibu?