Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Siku ya Jumapili, tarehe 19, Wanairinga wote wapenda maendeleo mnakumbushwa kuwa kutakuwa na mapokezi ya kumpokea Mbunge wetu mpendwa, Peter Msigwa, na kuelekea katika viwanja vya Mwembetogwa kwa ajili ya mkutano mkubwa wa kuwashukuru na kuomba ridhaa ya kutuongoza katika awamu ya pili.

Na kama kaiwada yetu, nina imani tutafunika kama tulivyofanya katika mikutano yetu tuliyofanya, maana magamba yashaanza kuongea, lakini Jumapili ni siku ya kuyafunga midomo, " tusiruhusu fikra ndogo kutawala fikra kubwa"
 
Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee
 
safi sana makamanda,tunawatakia kila lililo jema
 
Tutaanzia kumpokea maeneo ya ilula kuanzia saa5 masukanzi makamanda wa iringa pamoja sana
 
kweli kijana msigwa yupo vizuri. nampenda anavyojenga hoja bungeni. Sio mtu wa kukurupuka.
 
Msigwa ni moja ya wabunge wazuri na wanaojua kujenga hoja kwa maslai ya Taifa, tunahitaji wabunge wengi wenye mtazamo kama wake katika Bunge lijalo na sio kuwapunguza nakutuletea waganga wakienyeji kutunga sheria.
 
Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee

Siasa za kubaguana kutokana na mahali watu walikozaliwa zishaanza. Katiba yetu inasema mtu anaweza akiamua kuishi sehemu yeyote katika Tanzania ili mradi asivunje sheria, sasa hii habari ya huyu katoka Njombe inakujaje?
 
Back
Top Bottom