Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

mgombea kashaonekana wa kawaida sasa hamna tena comment nyingi . tangu nione hii post mpaka sasa kuna comment 58 tu zaman ingekua 1358 na picha za kutosha

tulikuwa tunasikiliza fact kutoka kwa watu muhimu kama Mbatia, sasa we are back on compaign na Lowaaaaaasaaaaaa
 
Nikweli, ni mabadiliko ya kumuweka Mla Rushwa Madarakani na kumuacha Mwadilifu, Mchapakazi na Mwaminifu!!

Wewe hatutaki taaarabu kama uchaapakazi ni kuuza nyumba za serikali na kututia hasara na meli ya samaki na kivuko kibovu kweli akili yako inastak kwa muda.
 



wanachi wakimsubiri Lowassa airport sumbawanga

Asante sana mkuu MEANDU, ukipata wasaaaa mwingine tupia msafara wote toka airpot Izia, Mazwi, chanji mpaka Kizwite. Mafisadi yasiyotubu ZAMBI zao yashuhudie yenyewe, Saaaante Kalesa Mkoooombe!!
 

picha tafadhali
 
Dr. Alinitoa kwenye mood jana kumbe duuuh makamanda wako imara
 
BADO HAWAJAENDA KUZITENGENEZA STUDIO ...... unazitaka za Tinga Tinga live.... and team nyingine kama 20 zilizosambaa kata kwa kata.....na ujumbe mmoja!!!! Hapakazitu!
 
Mbona mmeishiwa hata kupost imekuwa shida vipi Dr kawapiga vibaya? Mbona hata picha hakuna
 
Picha mbona hakuna, mnaniudhi sasa wakati kuna watu nimewashawishi kwa picha sasa msipotoa picha mnanipa wakati mgumu.
 
list of shame ccm inakumbatia kumi kati ya kumi na moja nani anaweza kuaminisha watanzania kuwa ni safi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…