WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Unataka watu wakutukane wewe!! hahaha huyu jamaa badala aende akafanye mambo ya msingi anakuja kukimbizana na watu wa jangwani!Amekaa kipadre padre hivi. Kocha kweli? Au safari hii mmetuletea mchungaji
yanga wana vituko, ukiondoa minziro... hakuna kocha waliompokea kimya-kimya
maximo yupo wapi tena?
Afadhali, labda atawasaidia kupunguza ufungwaji wa magoli matano.
Simba: tukiwapiga kiganja tena wataanza oooh, huyu kumbe sio kocha ni fundi rangi, oooh tumehujumiwa, oooh hajui
Mkuu nia yako sio nzuri kabisa,watu washatulizwa na maumivu wewe unalianzisha.Maswali yako magumu hayajibiki.