Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hivi karibuni
kiongozi wa Chadema wilaya ya Ludewa akiwa katika mkutano wa kumpokea mbunge Deo Filikunjombe sasa ,mkutano unaoendelea uwanja wa mpira wa Ludewa mjini Wakazi wa Ludewa wakiwa na mabango yenye jumbe mbali mbali za kumpongeza mbunge wao Deo Filikunjombe kwa kupambana na ufisadi Maandamano makubwa ya kumpokea mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM)
Mbunge wa jimbo la Ludewa akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa na kutembea zaidi ya kilometa 5 hadi mjini Ludewa leo Baadhi ya wanafunzi wanaosomesha na mbunge Filikunjombe Ludewa waki Vyama vya upinzani na CCM Ludewa vyaungana katika mapokezi hayo.
Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo.
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hivi karibuni.
Adui yako mwombee njaa kamwe maishani mwangu sitatumia muda na uhai nilijaliwa na mwenyezi Mungu kuwatumikia wanasiasa ili wazidi kuneemeka wao na familia zao; bora nikanyeshee bustani zangu
Kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba TLP na CUF hawana mpango wa kuingia ndani ya gari (Kutawala) kwa sasa, ila wanaogombania mlango wa kuingia ndani (kutawala) ni CCM na CDM. Hata hali ya kisiasa nchini inaunga mkono tafsiri hii.