Ngoja niandae buti zangu na kirungu...
Heshima kwa wote! Wandugu kwa kuwa mpaka sasa dr. Slaa ametuwakilisha vyema huko marekani, (nadhani) hadi wao wanashangaa kwanini hakuchaguliwa badala yake akapewa dhaifu, legelege asiye na hoja jk. Kwa kutambua hilo na dhima nzima ya ziara hiyo 'vission Tanzania' nashauri wote tunaoitakia mema nchi yetu tumiminike uwanjani kumpokea kwa mabango na jumbe za kumtia moyo. NB: hatuhitaji kibali wala ruhusa ya polisi coz sio maandamano bali mapokezi...Mwanasoka mbuyu twite alipokewa na maelfu ya watu uwanjani na hawakuomba ruhusa popote coz hakuna sheria iliyovunjwa, so police stay out of this
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Mkuu unajua sijakitumia siku nyingi sana hivyo nadhani sasa ni wakati muafakaHahahahahahahahhahahaa
Mkuu umenivunja mbavu.
Walaghaika wa Slaa wataogopa hii kitu...
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.
Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.
Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.

HAMY-D, pamoja na kutokukubaliana na wewe kwa mambo mengi tu, nakupa big up kwa kuchangia uendeshaji wa hili jamvi letu tunalolipenda lakini je, huyu ndugu yako ZeMarcopolo, aliyehamishia humu hadi kitanda, huwezi kumshawishi naye akachangia japo kiduchu?
Utajulikana vipi na kwa nani ZeMarcopolo? Mbona unajulikana kwa Rep Power? ha ha haa, jibu lako tells me a lot about the mighty ZeMarcopolo...Sio kila anayechangia anataka kujulikana kuwa amechangia...
HAMY-D, pamoja na kutokukubaliana na wewe kwa mambo mengi tu, nakupa big up kwa kuchangia uendeshaji wa hili jamvi letu tunalolipenda lakini je, huyu ndugu yako ZeMarcopolo, aliyehamishia humu hadi kitanda, huwezi kumshawishi naye akachangia japo kiduchu?
Msukule wewe hata manyaunyau akichinja paka 20 hauponi tena.Babu amekumaliza kila kituHeshima kwa wote! Wandugu kwa kuwa mpaka sasa dr. Slaa ametuwakilisha vyema huko marekani, (nadhani) hadi wao wanashangaa kwanini hakuchaguliwa badala yake akapewa dhaifu, legelege asiye na hoja jk. Kwa kutambua hilo na dhima nzima ya ziara hiyo 'vission Tanzania' nashauri wote tunaoitakia mema nchi yetu tumiminike uwanjani kumpokea kwa mabango na jumbe za kumtia moyo. NB: hatuhitaji kibali wala ruhusa ya polisi coz sio maandamano bali mapokezi...Mwanasoka mbuyu twite alipokewa na maelfu ya watu uwanjani na hawakuomba ruhusa popote coz hakuna sheria iliyovunjwa, so police stay out of this
Atue R- Chuga tumpokee kiukweli