Kisamvu cha mawese ukimpata mtu anayejua kukitengeneza ni kitamu balaa na wengine huweka na karanga za kusaga, ila hichi cha kutengenezwa na mkia wa ng'ombe sijawahi kukila.
Nimekula ni kitamu.
Ila nafikiri wanachemsha kisamvu na nyama separately na wakati wa kukaanga ndipo unapochanganya. Utaalamu utakuwa kwenye ratio ya nyama na kisamvu.
Nilijaribu ingawa sikutumia mawese ila nilizidisha kisamvu so hakikuwa kitamu kama cha wenyewe.