Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,077
- 136,505
Mwambie aje mwenyewe sio aje na kundiKipo kingi tu.
Karibu sana.

We si nshakufukuza kazi...😀Mpishi haunitaji si ndio
Kwa hiyo?Bongo vitu natural, sio hizo genetically modified broilers!
Hutapata mpishi kama mimiWe si nshakufukuza kazi...😀
Umekaribishwa kula tu. LolKinaitwaje,kinapikwaje hicho chakula manake sioni hatua tujifunze na sie naona picha tu.
Ningejua pia sio mbaya.Umekaribishwa kula tu. Lol
Meno yachini umepeleka wapi?
Nimeuza, si ulisikia lile dili?Meno yachini umepeleka wapi?