Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mimi napenda sana mlenda, naweza kula kila siku na nisichoke. nikiwa naumwa au mjamzito ugali mlenda ndo chakula kinachopanda sanaPia ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya mmen'genyo wa chakula
Mentor umenichekesha sana. haya tufanye majani ya maboga fungu moja la 150 na bamia za 200. hii imekaaje?Mi apo kwenye gram umeniacha kabisa Fixed Point.
Maana uku uswahilin kwetu kuna nyanya za mafungu sh 100, 200 500
Sasa gram 200 ni kama nyanya ngapi za sh ngapi??!
Nadhani umenipata...
hapana, mimi ni mngoni. kwetu wali unaliwa sikukuu tu, tena unaambatana na kuvaa nguo mpyaMhmmm!!! Fixed Point...Wewe ni msukuma?
hapana, mimi ni mngoni. kwetu wali unaliwa sikukuu tu, tena unaambatana na kuvaa nguo mpya
sisi pia tunakula sana mlenda, na kwa kweli napenda sana kupika, especially napika mlenda mzuri sana. kuna mume wa rafiki yangu akitaka kula mlenda tu anani-call aje kula kwanguha ha haaaa!!! Sasa umejulia wapi kupika mlenda vizuri hivyo?
sisi pia tunakula sana mlenda, na kwa kweli napenda sana kupika, especially napika mlenda mzuri sana. kuna mume wa rafiki yangu akitaka kula mlenda tu anani-call aje kula kwangu
hilo haliwezekani kabisa, I know what I am doing and I am happy where I am. more over, she is my bff, hakuna kitakachokuja between us, not even husbands.Duh!!! Ila angalia usije ukaishia kuharibu ndoa ya watu.
mimi napenda sana mlenda, naweza kula kila siku na nisichoke. nikiwa naumwa au mjamzito ugali mlenda ndo chakula kinachopanda sana
hapana, mimi ni mngoni. kwetu wali unaliwa sikukuu tu, tena unaambatana na kuvaa nguo mpya
ha haaaaaaa, mlongo wangu uyumwiki?wewe!i have to see yu!how cumz ukiwa mjamzito unapenda kula chakula ambacho na mi nakipenda nikiwa mjamzito,kuna sehemu kuna watu walifanya kakitu kwenye uzao wetu!i bet!this is more than jus coincidence mlongo wangu!khaA!
wewe, kuna siku ilitokea kesi, nilikuwa kwa uncle wangu, jumapili tumeenda kanisani tunarudi tukakuta mke wa mjomba kachinja kuku kapika na wali. mtoto wake akaanza kuhoji leo ni sikukuu gani, na inakuwaje tumeenda church bila nguo mpya na wakati ni sikukuutena waambie unaliwa na nyama ya kuku mlongo wangu!watell watell
ha haaaaaaa, mlongo wangu uyumwiki?
Hapo ndo ujue kuwa kuna kitu, au usikute ni mtoto wa uncle zangu, ha haaaaaaaaaaaaa. Kwa kweli itabidi tukutane tuhadithiane kwanza
wewe, kuna siku ilitokea kesi, nilikuwa kwa uncle wangu, jumapili tumeenda kanisani tunarudi tukakuta mke wa mjomba kachinja kuku kapika na wali. mtoto wake akaanza kuhoji leo ni sikukuu gani, na inakuwaje tumeenda church bila nguo mpya na wakati ni sikukuu
nyumbani kwangu nina bustani, yaani huwa nahakikisha nanyungu haikosekani. sasa mtoto wangu mmoja ukipika mboga ya majani nyingine tu analalamika "mimi napenda pitiku"Mngoni kwa nyama kha!hapo hajaweka likolo la nyungu pembeni a.k.a pitiku!