Asante, hope hata mapande ya nyama (T bone) ya Kuchoma inaweza kuwa nzuri kwa mtindo huu wa uchanganyaji viungoMishkaki Ya Nyama
Mahitaji:
Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)
Mafuta........................3 Vijiko vya supu
Masala ya Kurowekea Nyama:
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu
Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai
Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu
Chumvi.............................................................................kiasi
Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu
Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai
Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu
Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha na Kupika:
- Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
- Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
- Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
- Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
- Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.
Thanks, ni bonge la changamoto kuwa na nyama laini ya kuchoma, hope hiyo siki nyeupe ndio white vinegarHio mix ya viungo ni nzuri sana...ila papai linalainisha sana nyama hivyo muda inabd upunguzwe T-bone isije kuorojeka
Safi sana.Mishkaki Ya Nyama
Mahitaji:
Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo)
Mafuta........................3 Vijiko vya supu
Masala ya Kurowekea Nyama:
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi iliyosagwa..........2 kijiko cha supu
Pilipili mbichi iliyosagwa................................................1 kijiko cha supu
Papai bichi kiasi lililochunwa..........................................½ papai
Siki nyeupe......................................................................3 vijiko vya supu
Chumvi.............................................................................kiasi
Jiyrah (cummin powder/bizari ya pilau)..........................kijiko cha supu
Dania (coriander powder/gilgilani).................................1 kijiko cha chai
Pilipili nyekundu ya unga.................................................1 kijiko cha supu
Mdalasini wa unga............................................................1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha na Kupika:
- Kata nyama vipande vikubwa kubwa kiasi.
- Changanya masala na vitu vyote katika nyama uroweke kwa muda wa masaa mawili.
- Tunga vipande vya nyama katika vijiti vya kuchomea kababu (kabaab skewers).
- Choma katika jiko la makaa au katika la B.B.Q kwa moto wa kiasi ukiwa unazigeuza geuza hadi nyama iwive.
- Epua, weka katika sahani ikiwa tayari kuliwa.
Zurie asante sana ugonjwa wangu huuMishkaki Ya Nyama

Naomba nieleweshe jinsi ya kutumia papai kwenye hiyo nyama,unasagia papai baadae unalitoa au unachoma hivyo hivyo na vipande vyake vya papaiHio mix ya viungo ni nzuri sana...ila papai linalainisha sana nyama hivyo muda inabd upunguzwe T-bone isije kuorojeka