Mapishi ya cake online

Captain 666

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
660
Reaction score
1,245
Guys kuna darasa la mapishi ya cake za kila aina.

Mafunzo ni online kwa namba na mail zilizopo. Tuwape suport wadogo zetu.

Kwa wakazi wa Dar yupo dada Loveness huko ilihali kwa wakazi wa Iringa yupo dada linda.

Picha zimeambatanishwa na namba zao kwa maelezo zaidi

Asanteni wapendwa
 
mkuu mbona sijaona gharama???au ni bure
Kwa mwezi mmoja wa kwanza ni bule mkuu, sasa yule ataesoma bule akafurahishwa ndo atawahimiza wenzake kama itampendeza. So from 1 feb to 28 ni bule kwa wataowahi mkuu
 
Hata kama mtu anajua , ujuzi unatofautiana hivyo ni vyema kuongezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…