Biliani ni lost sio mchele nikitulia nashusha maelezo
Ahahah kipi ikoManeno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni pizza.
Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
Skonsi iliyowekwa nyama katikati inaitwa baga sio pizza ndugu.. pizza ni ile inayokua mifano wa chapatiManeno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni pizza.
Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
Nimekisahau kuna siku ulikiposti mimi nikawa sikijui wewe na kina ephen_ mkawa mnanisahihishaAhahah kipi iko
Ee bwana sijui kutofautisha kati ya piza na Burger... Nilimaanisha hikiSkonsi iliyowekwa nyama katikati inaitwa baga sio pizza ndugu.. pizza ni ile inayokua mifano wa chapati
Hapo kwenye maziwa toa weka mtindi.Kwanza unaanza kukaanga vitungu kama unavyo kaanga chips mpaka viwe na rangi ya kuungua unavitoa unaweka pembeni
Unasaga nyanya nyanya ziwe nyingi sana
Uwe na maziwa
Af kuna kiungo cha birian ndani yake kuna jani
Binzari nyembamba
Mayai
Nyama kuku / mbuzi
Tomato pest
Madame B nisaidie kama kuna kitu nimesahau
Kwanza unaanza kukaanga vitungu kama unavyo kaanga chips mpaka viwe na rangi ya kuungua unavitoa unaweka pembeni
Unasaga nyanya nyanya ziwe nyingi sana
Uwe na maziwa
Af kuna kiungo cha birian ndani yake kuna jani
Binzari nyembamba
Mayai
Nyama kuku / mbuzi
Tomato pest
Madame B nisaidie kama kuna kitu nimesahau
Unavopenda biriani Sasa!!
Ongezea na Broccoli kidogoHapo kwenye maziwa toa weka mtindi.
Hiko chenye jani ni bay leaf, na ndugu zake akina star anise na wengineo.
Kuna viazi (si lazima)
Napenda kupambia ghee (aina ya samli)
Kuna giligilani
Kuna mchele wa pishori au basmat rice (naona huu kwenye biryani ndio unanoga zaidi)
Sahv watu wamestaarabika maana hawaweki marangirangi.
Na vingine vingi maana biriani kila mtu na umaliziaji wake.
Ila kama una njaa ya kufa, heri upike wali au pilau maana rost la biriani tu kulipika tu ni masaa 4 bado hujaandaa viungo vyake🙌🙌🙌.
Mwachiluwi ....leo Jumamosi tunakula nini?
Biriani zuri na tamu sana... Biriani chakula kama chakula...Unavopenda biriani Sasa!!
Nikujisumbua na mavyakula ya ovyo ovyo kama hayoAwali kabisa sikujua chakula kinachoitwa biriani ila nilikuwa nasikia tu kuna chakula kinaitwa biriani. Kumbe nikaja kuambiwa kuwa nilishawahi kula kwenye sherehe na mikutano ya kiofisi. Nikaambiwa ni wali uliotiwa rangi rangi una nyama ya kuku na viungo fulanifulani hivi. Hotelini ni bei ghali kupata biriani na ni mara chache huandaliwa kwa wiki sio kila siku na mchele wake ni maalumu. Sasa nataka nijue maandilzi na mahitaji ya kupika biriani yanaandaliwa vipi. Wapishi wapevu naombeni maarifa yenu namna ya kupika biriani
Wee akili zako mbili kasoro ujue !!!Biriani zuri na tamu sana... Biriani chakula kama chakula...