Mapiramidi ya Misri yanavuta sana watalii, nashauri piramidi moja lijengwe Chato ili kuvuta watalii ambao pia wataenda mbuga ya Burigi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,996
20,647
Ni wazi kwamba Misri inapata fedha nyingi kutokana na haya mapiramidi

Nashauri serikali ijenge mfanano wa mapiramidi katika wilaya ya chato ambayo iko jirani na mbuga ya Chato Burigi.

Piramidi hili lijengwe pembeni ya mbuga ambapo litazungukwa na mahoteli ya kitalii, baada ya watalii kutoa dola zao kuliangalia,wataelekea mbuga ya wanyama(wale wanyama watano waliopelekwa) na kutalii kuangalia mambo mazuri ambayo Mwenyezi Mungu ameitunuku nchi yetu.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Na mwandishi wetu nyeriko nyenyere
 
Kidumu!! Pia napendekeza tujenge BAHARI pale chato, maana mji kasoro bahari si mji tena. Nashauri AIRBUS itumike kubeba pipa za maji kujaza hiyo CHATO OCEAN
 
ushauri wako ni wa hovyo( in Magufuli' s voice). waswahili wanasema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. leo unataka kujenga piramidi wakati misri ni sehemu ya historia, hapa itakuwa ni sehemu ya nini? Moja ya sifa ya vivutio vya utalii ni kuwa sehemu ya historia kamili na kuelezea utamaduni wa eneo husika.
 
Wanaweza kufanya ubunifu pia kwa kuweka Museum ya Makabila yanayozunguka hapo, kuna wasumbwa,wasubi,wasukuma,waha,wahaya.......
 
Ni wazi kwamba Misri inapata fedha nyingi kutokana na haya mapiramidi

Nashauri serikali ijenge mfanano wa mapiramidi katika wilaya ya chato ambayo iko jirani na mbuga ya Chato Burigi.

Piramidi hili lijengwe pembeni ya mbuga ambapo litazungukwa na mahoteli ya kitalii, baada ya watalii kutoa dola zao kuliangalia,wataelekea mbuga ya wanyama(wale wanyama watano waliopelekwa) na kutalii kuangalia mambo mazuri ambayo Mwenyezi Mungu ameitunuku nchi yetu.

Kidumu chama cha mapinduzi
Roho mbaya na wivu
 
YES NA MLIMA KILIMANJARO UHAMISHIWE CHATO KAMA WALE WANYAMA. 😂😂😁😁😃😃😄😄😅😅😆😆😉😉
 
ushauri wako ni wa hovyo( in Magufuli' s voice). waswahili wanasema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. leo unataka kujenga piramidi wakati misri ni sehemu ya historia, hapa itakuwa ni sehemu ya nini? Moja ya sifa ya vivutio vya utalii ni kuwa sehemu ya historia kamili na kuelezea utamaduni wa eneo husika.

MKUU upo very poor kwenye fasihi LITERATURE .
NAJISIKIA VIBAYA KUWA UMESHINDWA KUELEWA UJUMBE ULIOMO.I

HAPO AMETUMIA LUGHA YA KEJELI KUTUMA UJUMBE.

MAANA KILA KITU CHATO BASI WAJEMGE NA PIRAMIDI KABISA.
 
Wakati unakuja ambapo chato haitatajwa tajwa tena. Kumbukeni ilipopotelea bagamoyo na kelele zake. Walionunua mashamba wanalia. Sasa ni kelele za dodoma chato,Mwanza. Tena Dodoma na m
Mwanza zinaonekana kama mbingu ndogo vile.
 
Ni wazi kwamba Misri inapata fedha nyingi kutokana na haya mapiramidi

Nashauri serikali ijenge mfanano wa mapiramidi katika wilaya ya chato ambayo iko jirani na mbuga ya Chato Burigi.

Piramidi hili lijengwe pembeni ya mbuga ambapo litazungukwa na mahoteli ya kitalii, baada ya watalii kutoa dola zao kuliangalia,wataelekea mbuga ya wanyama(wale wanyama watano waliopelekwa) na kutalii kuangalia mambo mazuri ambayo Mwenyezi Mungu ameitunuku nchi yetu.

Kidumu chama cha mapinduzi
Huu ushauri naona Mzee anaufanyia kazi muda si mlefu Nyanza Road itaanza kuliandaa eneo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom