Mapinduzi ya vitoto vya afumbili

Mapinduzi ya vitoto vya afumbili

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
480
Reaction score
605
Habari Wana JF
Nidhahiri ya kwamba ujio wa vitoto vya afumbili vimedidimiza soko la maafisa utamu, Leo nisiku ya kumii nimezunguka baadhi ya mikoa nanimepita maeneo wanapopatikana Hawa ma afisa kiukwelii biashara ningumu Sasa sijui niwanaume tumeamua kuwasusa au nihali yakiuchumi imekua ngumu au nivitoto vya afumbili vinatukomboa sababu nilitegemea kipindi hichi Cha baridi wategemezi wa Taifa tungekua tumeshapanga mstari kule maeneo ila chaajabu watuu hamna sasijui shida ninn au wenzanguu mpobize kujadili deni la Taifaa naombeni majibu??
 
Hapa Dodoma nyuma ya jengo la wizara ya ujenzi kuna maafisa utamu high classic sana na bei Yao imechangamka kidogo. Wapo wengi Sanaa yani
 
Back
Top Bottom