MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Hii nchi ni kama tunaenda kinyumenyume.
Historia ni nzuri ila haina nafasi kwenye Dunia ya sasa ya Mapinduzi makubwa sana ya Viwanda.
Tunaambiwa hadi mwaka 2030 zaidi ya kazi Milion 800 zitafanywa na mashine, maana yake watu hao milion 800 wanaenda kuwa jobless.
Wote ni mashahidi ya kinacho endelea kwa sasa kwamba sayansi inachukua nafasi kubwa mno.
Kama ni Historia ya Mchi vingeandaliwa vipindi vya kutosha kwenye TV na Radio kwa ajili ya kutoa elimu ya Historia.
Nilitarajia Raisi angesema haya:
Wachina wamejaa Tanzania ndo wanajenga kila kitu hatushituki? Tunaona ni sawa wajenge wao?

- Natoa Mwaka mmoja nchi usiagize mafuta ya kula tena nje ya nchi
- Natoa mwaka mmoja Watanzani waje na ubunifu wa mashine za kuzalisha tothpick
- Kuanzia sasa tusitumie Dolla kuagiza fenicha nje wakati tuna misitu ya kutosha