VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Analysis ya Kilabuni wanakouza UGIMBIKuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba wakati umma hauko tayari kwa hilo.Mambo hayo hayako mbali.CHADEMA,NCCR-Mageuzi,Jukwaa la Katiba na wanaharakati wengine hawatakuwa viongozi wa mapinduzi hayo.
Analysis ya Kilabuni wanakouza UGIMBI

Umepiga hodi???????????????????

Join Date : 17th November 2011

Posts : 1

Rep Power : 0
Kuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba wakati umma hauko tayari kwa hilo.Mambo hayo hayako mbali.CHADEMA,NCCR-Mageuzi,Jukwaa la Katiba na wanaharakati wengine hawatakuwa viongozi wa mapinduzi hayo.
Jenga hoja na siyo kupost vitu ambavyo havieleweki ukadhani utakuwa supported.Kuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba wakati umma hauko tayari kwa hilo.Mambo hayo hayako mbali.CHADEMA,NCCR-Mageuzi,Jukwaa la Katiba na wanaharakati wengine hawatakuwa viongozi wa mapinduzi hayo.
Analysis ya Kilabuni wanakouza UGIMBI
Mkuu, karibu sana jamvini kwa great thinkers. Naona umeuanza upya wako kwa thread ya ajabu! Kwa katiba ya TZ, bunge huwa halipinduliwi, bali huvunjwa na uongozi wa juu kabisa (Rais) au kwa mujibu wa sheria angalia Ibara ya 65, na 90(2),(3) na (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2005. Kwa kukusaidia angalia uk. 61 na uk. 81-82. Pole sana, mwanzo siku zote huwa ni mgumu.
Mapinduzi Ndugu hayafuati Sheria.Katiba itaangalia tu mambo yakifanyika bila msaada wa Ibara ulizozitaja.
Mkuu, kweli wewe ni mpya kiasi kwamba hata muundo wa utawala wa nchi huujui. Bunge kamwe haliwezi kupinduliwa, labda ulimaanisha serikali? Kweli kazi ipo. wahenga walisema "He who knows not, and knows not that he knows not, is a big simpleton". Pole sana