Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 730
- 1,225
Akijibu Niite kuku nipo paleTupe na mfano huo huo kupitia historia ya Mapinduzi ya Zanzibar
Hatuwezi kuridhiana na serikali haramu ya wauaji. Tena rais haramu anakiri hadharani kuwa alilazimika kuwaua raia kwasabb tu maandamano yao yangepelekea serikali kupinduliwa. Nonsense!Kama kweli tunataka demokrasia katika nchi yetu hatuna budi kulipa gharama ya kukubali maridhiano kwa njia ya amani. Hiyo ndio namna pekee itakayotuwezesha kujenga demokrasia imara katika nchi yetu.
Serious mlikuwa mnapora uchaguzi kwa kiburi kikubwa mkiamini watu wataendelea kuwa wajinga na waoga wa kudumu. Acha yafanyike hayo mapinduzi maana kiburi kiliwatia upofu mkawa hamsikii lolote, na sababu hasa mlijua watu wataendelea kuwa waoga.Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua"
Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale kunapotokea kutokuridhika na jinsi mambo yanavyoenda.
Historia inatuonyesha kuwa, mara nyingi, baada ya mapinduzi kuondoa serikali za kiraia kinachofuata huwa ni mfululizo wa mapinduzi yanayoongozwa na madikteta wa kijeshi. Kuzirudisha nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia huwa ni mchakato mgumu na wa muda mrefu.
Chukulia nchi ya Nigeria kwamfano; imewahi kupitia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa mara 6. Haya ndiyo mapinduzi yaliyofanikiwa na kupelekea serikali kubadilishwa na jeshi:
Mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa Nigeria
Januari 1966 – Mapinduzi ya kwanza, yakiongozwa na Maj. Chukwuma Kaduna Nzeogwu.
Julai 1966 – Mapinduzi ya pili (counter-coup), yakiongozwa na makamanda wa kaskazini.
1975 – Jenerali Yakubu Gowon akaondolewa na Jenerali Murtala Mohammed.
1983 – Utawala wa kiraia wa Shehu Shagari ukaondolewa na Maj. Jenerali Muhammadu Buhari.
1985 – Buhari akaondolewa na Jenerali Ibrahim Babangida.
1993 – Jenerali Sani Abacha akachukua madaraka baada ya kuivunja serikali ya mpito ya Ernest Shonekan.
Mapinduzi yasiyofanikiwa (kwa taarifa ya ziada)
1976 (jaribio la Dimka)
1990 (jaribio la Gideon Orkar)
Hapa kwa majirani zetu Uganda imehusishwa na matukio kadhaa ya kubadilisha utawala kwa njia isiyo ya demokrasia, lakini idadi ya mapinduzi ya kijeshi (military coups) yanayotambuliwa rasmi ni kati ya 2–3, kutegemea namna unavyoyahesabu.
Mapinduzi ya kijeshi yaliyotambuliwa Uganda
1. Mapinduzi ya 1971 – Idi Amin
Majeshi ya Idi Amin yalimuondoa madarakani Milton Obote akiwa nje ya nchi.
Hili ndilo kudeta halisi na kubwa zaidi katika historia ya Uganda.
2. Mapinduzi ya 1985 – Tito Okello Lutwa
Vikosi vya kijeshi vya Gen. Bazilio Okello na Tito Okello vilimuondoa Milton Obote kwa mara ya pili.
Hili lilikuwa kudeta la moja kwa moja.
Tukio linalojadiliwa kama “kudeta la kikatiba”
3. 1966 – Obote “constitutional coup”
Milton Obote alimfukuza Naibu Rais/ Rais wa zamani Sir Edward Mutesa II na kuvunja katiba, akichukua mamlaka yote.
Haikuwa operesheni ya wanajeshi dhidi ya serikali yake, bali Obote mwenyewe kutumia jeshi kubadilisha utawala, ndiyo maana mara nyingi huitwa “constitutional coup” na wengine hujumuisha kama kudeta.
Kwa mifano hii miwili ni vyema sisi watanzania tukajitathmini ni nini tunatarajia kukipata kutoka kwa baadhi ya wenzetu wenye dhamira ya kuishinikiza serikali kuondoka kwa maandamano yasiyo na kikomo.
Kama kweli tunataka demokrasia katika nchi yetu hatuna budi kulipa gharama ya kukubali maridhiano kwa njia ya amani. Hiyo ndio namna pekee itakayotuwezesha kujenga demokrasia imara katika nchi yetu.
😂😂😂Kwahiyo Zanzibar ni nini? CCM mmepagawa
Inasikitisha sana aiseeSerious mlikuwa mnapora uchaguzi kwa kiburi kikubwa mkiamini watu wataendelea kuwa wajinga na waoga wa kudumu. Acha yafanyike hayo mapinduzi maana kiburi kiliwatia upofu mkawa hamsikii lolote, na sababu hasa mlijua watu wataendelea kuwa waoga.
Ukitaka kujua hakuna dhamira ya dhati ya hayo mnayoita mazungumzo ya amani, hadi sasa watu wanatekwa na vyombo vya dola na kufanyiwa unyama wa hali ya juu, na ushahidi upo. Kinachofanywa sasa na utawala huu ni kuhubiri mkono wa amani hadharani, lakini nyuma ya pazia kunafanyika unyama wa kiwango kikibwa. Tuko tayari kulipa gharama ya kugoma kutawaliwa na ccm kwa shuruti.
Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua"
Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale kunapotokea kutokuridhika na jinsi mambo yanavyoenda.
Historia inatuonyesha kuwa, mara nyingi, baada ya mapinduzi kuondoa serikali za kiraia kinachofuata huwa ni mfululizo wa mapinduzi yanayoongozwa na madikteta wa kijeshi. Kuzirudisha nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia huwa ni mchakato mgumu na wa muda mrefu.
Chukulia nchi ya Nigeria kwamfano; imewahi kupitia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa mara 6. Haya ndiyo mapinduzi yaliyofanikiwa na kupelekea serikali kubadilishwa na jeshi:
Mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa Nigeria
Januari 1966 – Mapinduzi ya kwanza, yakiongozwa na Maj. Chukwuma Kaduna Nzeogwu.
Julai 1966 – Mapinduzi ya pili (counter-coup), yakiongozwa na makamanda wa kaskazini.
1975 – Jenerali Yakubu Gowon akaondolewa na Jenerali Murtala Mohammed.
1983 – Utawala wa kiraia wa Shehu Shagari ukaondolewa na Maj. Jenerali Muhammadu Buhari.
1985 – Buhari akaondolewa na Jenerali Ibrahim Babangida.
1993 – Jenerali Sani Abacha akachukua madaraka baada ya kuivunja serikali ya mpito ya Ernest Shonekan.
Mapinduzi yasiyofanikiwa (kwa taarifa ya ziada)
1976 (jaribio la Dimka)
1990 (jaribio la Gideon Orkar)
Hapa kwa majirani zetu Uganda imehusishwa na matukio kadhaa ya kubadilisha utawala kwa njia isiyo ya demokrasia, lakini idadi ya mapinduzi ya kijeshi (military coups) yanayotambuliwa rasmi ni kati ya 2–3, kutegemea namna unavyoyahesabu.
Mapinduzi ya kijeshi yaliyotambuliwa Uganda
1. Mapinduzi ya 1971 – Idi Amin
Majeshi ya Idi Amin yalimuondoa madarakani Milton Obote akiwa nje ya nchi.
Hili ndilo kudeta halisi na kubwa zaidi katika historia ya Uganda.
2. Mapinduzi ya 1985 – Tito Okello Lutwa
Vikosi vya kijeshi vya Gen. Bazilio Okello na Tito Okello vilimuondoa Milton Obote kwa mara ya pili.
Hili lilikuwa kudeta la moja kwa moja.
Tukio linalojadiliwa kama “kudeta la kikatiba”
3. 1966 – Obote “constitutional coup”
Milton Obote alimfukuza Naibu Rais/ Rais wa zamani Sir Edward Mutesa II na kuvunja katiba, akichukua mamlaka yote.
Haikuwa operesheni ya wanajeshi dhidi ya serikali yake, bali Obote mwenyewe kutumia jeshi kubadilisha utawala, ndiyo maana mara nyingi huitwa “constitutional coup” na wengine hujumuisha kama kudeta.
Kwa mifano hii miwili ni vyema sisi watanzania tukajitathmini ni nini tunatarajia kukipata kutoka kwa baadhi ya wenzetu wenye dhamira ya kuishinikiza serikali kuondoka kwa maandamano yasiyo na kikomo.
Kama kweli tunataka demokrasia katika nchi yetu hatuna budi kulipa gharama ya kukubali maridhiano kwa njia ya amani. Hiyo ndio namna pekee itakayotuwezesha kujenga demokrasia imara katika nchi yetu.
French revolution ??,ilizaa mapinduzi Dr wa mchongo???Tupe na mfano huo huo kupitia historia ya Mapinduzi ya Zanzibar
Acha propaganda hivi watu 2,3000 unawajua japo kuwa hata mmoja hakutakiwa kufa.Heri kuwa na series ya mapinduzi,kuliko kukaa kwenye tawala za kijinga unapora uchaguzi, unajisimika madarakani kwa bunduki, unauwa watu elfu 23 plus,bado tena unawafukia kama kuku waliokufa na kideli,unawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,bado unateka,unabaka,unalawiti,unafira na unaua,je kwa mtu mwenye busara na hekima atasema bora series ya mapinduzi kuliko tawala katili kama hii
ulipiga kura Oktoba 29?Historia hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua"
Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale kunapotokea kutokuridhika na jinsi mambo yanavyoenda.
Historia inatuonyesha kuwa, mara nyingi, baada ya mapinduzi kuondoa serikali za kiraia kinachofuata huwa ni mfululizo wa mapinduzi yanayoongozwa na madikteta wa kijeshi. Kuzirudisha nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia huwa ni mchakato mgumu na wa muda mrefu.
Chukulia nchi ya Nigeria kwamfano; imewahi kupitia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa mara 6. Haya ndiyo mapinduzi yaliyofanikiwa na kupelekea serikali kubadilishwa na jeshi:
Mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa Nigeria
Januari 1966 – Mapinduzi ya kwanza, yakiongozwa na Maj. Chukwuma Kaduna Nzeogwu.
Julai 1966 – Mapinduzi ya pili (counter-coup), yakiongozwa na makamanda wa kaskazini.
1975 – Jenerali Yakubu Gowon akaondolewa na Jenerali Murtala Mohammed.
1983 – Utawala wa kiraia wa Shehu Shagari ukaondolewa na Maj. Jenerali Muhammadu Buhari.
1985 – Buhari akaondolewa na Jenerali Ibrahim Babangida.
1993 – Jenerali Sani Abacha akachukua madaraka baada ya kuivunja serikali ya mpito ya Ernest Shonekan.
Mapinduzi yasiyofanikiwa (kwa taarifa ya ziada)
1976 (jaribio la Dimka)
1990 (jaribio la Gideon Orkar)
Hapa kwa majirani zetu Uganda imehusishwa na matukio kadhaa ya kubadilisha utawala kwa njia isiyo ya demokrasia, lakini idadi ya mapinduzi ya kijeshi (military coups) yanayotambuliwa rasmi ni kati ya 2–3, kutegemea namna unavyoyahesabu.
Mapinduzi ya kijeshi yaliyotambuliwa Uganda
1. Mapinduzi ya 1971 – Idi Amin
Majeshi ya Idi Amin yalimuondoa madarakani Milton Obote akiwa nje ya nchi.
Hili ndilo kudeta halisi na kubwa zaidi katika historia ya Uganda.
2. Mapinduzi ya 1985 – Tito Okello Lutwa
Vikosi vya kijeshi vya Gen. Bazilio Okello na Tito Okello vilimuondoa Milton Obote kwa mara ya pili.
Hili lilikuwa kudeta la moja kwa moja.
Tukio linalojadiliwa kama “kudeta la kikatiba”
3. 1966 – Obote “constitutional coup”
Milton Obote alimfukuza Naibu Rais/ Rais wa zamani Sir Edward Mutesa II na kuvunja katiba, akichukua mamlaka yote.
Haikuwa operesheni ya wanajeshi dhidi ya serikali yake, bali Obote mwenyewe kutumia jeshi kubadilisha utawala, ndiyo maana mara nyingi huitwa “constitutional coup” na wengine hujumuisha kama kudeta.
Kwa mifano hii miwili ni vyema sisi watanzania tukajitathmini ni nini tunatarajia kukipata kutoka kwa baadhi ya wenzetu wenye dhamira ya kuishinikiza serikali kuondoka kwa maandamano yasiyo na kikomo.
Kama kweli tunataka demokrasia katika nchi yetu hatuna budi kulipa gharama ya kukubali maridhiano kwa njia ya amani. Hiyo ndio namna pekee itakayotuwezesha kujenga demokrasia imara katika nchi yetu.
Wewe mwenyewe unashindwa kuandika 23,000,je elfu 23 plus unaijua??,au shuleni yenyewe kichwani hunaAcha propaganda hivi watu 2,3000 unawajua japo kuwa hata mmoja hakutakiwa kufa.
Yote ni bora kuliko tuliyonayo sasa sasa tuko kwenye choo kichafuHistoria hujirudia. Katika Muhubiri 1:9 twasoma; "Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua"
Katika mapambano ya kujenga nchi, mataifa mbalimbali yamepitia njia mbalimbali ikiwemo kufanya mapinduzi ya kijeshi mara nyingi pale kunapotokea kutokuridhika na jinsi mambo yanavyoenda.
Historia inatuonyesha kuwa, mara nyingi, baada ya mapinduzi kuondoa serikali za kiraia kinachofuata huwa ni mfululizo wa mapinduzi yanayoongozwa na madikteta wa kijeshi. Kuzirudisha nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia huwa ni mchakato mgumu na wa muda mrefu.
Chukulia nchi ya Nigeria kwamfano; imewahi kupitia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa mara 6. Haya ndiyo mapinduzi yaliyofanikiwa na kupelekea serikali kubadilishwa na jeshi:
Mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa Nigeria
Januari 1966 – Mapinduzi ya kwanza, yakiongozwa na Maj. Chukwuma Kaduna Nzeogwu.
Julai 1966 – Mapinduzi ya pili (counter-coup), yakiongozwa na makamanda wa kaskazini.
1975 – Jenerali Yakubu Gowon akaondolewa na Jenerali Murtala Mohammed.
1983 – Utawala wa kiraia wa Shehu Shagari ukaondolewa na Maj. Jenerali Muhammadu Buhari.
1985 – Buhari akaondolewa na Jenerali Ibrahim Babangida.
1993 – Jenerali Sani Abacha akachukua madaraka baada ya kuivunja serikali ya mpito ya Ernest Shonekan.
Mapinduzi yasiyofanikiwa (kwa taarifa ya ziada)
1976 (jaribio la Dimka)
1990 (jaribio la Gideon Orkar)
Hapa kwa majirani zetu Uganda imehusishwa na matukio kadhaa ya kubadilisha utawala kwa njia isiyo ya demokrasia, lakini idadi ya mapinduzi ya kijeshi (military coups) yanayotambuliwa rasmi ni kati ya 2–3, kutegemea namna unavyoyahesabu.
Mapinduzi ya kijeshi yaliyotambuliwa Uganda
1. Mapinduzi ya 1971 – Idi Amin
Majeshi ya Idi Amin yalimuondoa madarakani Milton Obote akiwa nje ya nchi.
Hili ndilo kudeta halisi na kubwa zaidi katika historia ya Uganda.
2. Mapinduzi ya 1985 – Tito Okello Lutwa
Vikosi vya kijeshi vya Gen. Bazilio Okello na Tito Okello vilimuondoa Milton Obote kwa mara ya pili.
Hili lilikuwa kudeta la moja kwa moja.
Tukio linalojadiliwa kama “kudeta la kikatiba”
3. 1966 – Obote “constitutional coup”
Milton Obote alimfukuza Naibu Rais/ Rais wa zamani Sir Edward Mutesa II na kuvunja katiba, akichukua mamlaka yote.
Haikuwa operesheni ya wanajeshi dhidi ya serikali yake, bali Obote mwenyewe kutumia jeshi kubadilisha utawala, ndiyo maana mara nyingi huitwa “constitutional coup” na wengine hujumuisha kama kudeta.
Kwa mifano hii miwili ni vyema sisi watanzania tukajitathmini ni nini tunatarajia kukipata kutoka kwa baadhi ya wenzetu wenye dhamira ya kuishinikiza serikali kuondoka kwa maandamano yasiyo na kikomo.
Kama kweli tunataka demokrasia katika nchi yetu hatuna budi kulipa gharama ya kukubali maridhiano kwa njia ya amani. Hiyo ndio namna pekee itakayotuwezesha kujenga demokrasia imara katika nchi yetu.
Bora mm nimefanya kosa la kibinadamu kuliko ww unaye andika kitu ambacho hata ww unajua ni uongo.Wewe mwenyewe unashindwa kuandika 23,000,je elfu 23 plus unaijua??,au shuleni yenyewe kichwani huna
Binadamu kile anacho kiandika ndiyo kile anachokifikiriaBora mm nimefanya kosa la kibinadamu kuliko ww unaye andika kitu ambacho hata ww unajua ni uongo.