Mkuu haya mashindano huwezi ukaweka wachezaji muhimu wakati una mashindano muhimu mbeleni kama CAF
Ukipata majeruhi hapa basi upo kwenye nafasi ngumu sana kuweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo mingine
Unafikiri Yanga kumleta Kambole wamekosea?
Mayele ndio kwanza kapewa vaccation means hiyo ni hadhina na ndio maana Yanga walitaka kususa hii michuano kwasbabu haina pesa ya kutosha