Mashabiki bwana, yaani bonanza mnachukulia serious kiasi hiki. Binafsi hata ingekuwa ndio Yanga kaweka kikosi dhaifu halafu hata goli nane nisingechukia wala kulalamika. Sioni mantiki ya hii michuano
Maandishi yakolezwe, wekeni Bold kwenye kichwa cha uzi. Haionekani vizuri Mlandege 1 mkia kama kawa 0.
Rekebisheni kila mtu aone Mlasimba ndiyo kidume leo...