Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,316 Reaction score 62,533 Mar 11, 2025 #1 Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,773 Reaction score 2,835 Mar 11, 2025 #2 Vikwazo vimemuelemea Paka, ukitaka kumuua nyoka dili na kichwa... mkia ni behewa tu fata upepo...
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,922 Reaction score 10,636 Mar 12, 2025 #3 Uhuni mwingi, hivi ukiangalia safari hii mpaka wakashika mtutu walikuwa wamekosa nini?
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Mar 12, 2025 #4 M23 wamewekewa mtego huko fizi wamechapika (silaha walizoachiwa na jeshi la congo lenye wasaliti ziliokotwa na kikundi cha wazalendo).. wameingia kwa kujiamini kumbe raia wana mitutu.. Ukiongezea na vikwazo hali imekua ngumu kwa m23
M23 wamewekewa mtego huko fizi wamechapika (silaha walizoachiwa na jeshi la congo lenye wasaliti ziliokotwa na kikundi cha wazalendo).. wameingia kwa kujiamini kumbe raia wana mitutu.. Ukiongezea na vikwazo hali imekua ngumu kwa m23
Choosen85 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,337 Reaction score 5,650 Mar 12, 2025 #5 Trump anaingia hapo kuchota madini mpk yaishe ndo utawaskia tena hao m23
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,194 Mar 12, 2025 #7 Kuna mamruki (mercenaries) wapo njiani. M23 wanaogopa.
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,265 Reaction score 42,093 Mar 12, 2025 #8 Equation x said: Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo? Click to expand... Tangu juzi nawaza hili
Equation x said: Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo? Click to expand... Tangu juzi nawaza hili
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,814 Reaction score 60,685 Mar 12, 2025 #9 Uvira hapaingiliki..wajipnge kwanza labda wanawavizia wazalendo wawape rushwa ili wajiunge nao..maimai ni hatari hawaogopi masasi(risasi)
Uvira hapaingiliki..wajipnge kwanza labda wanawavizia wazalendo wawape rushwa ili wajiunge nao..maimai ni hatari hawaogopi masasi(risasi)
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,265 Reaction score 42,093 Mar 12, 2025 #10 Ndombwindo said: Vikwazo vimemuelemea Paka, ukitaka kumuua nyoka dili na kichwa... mkia ni behewa tu fata upepo... Click to expand... Fafanua kidogo mkuu jazia nyama😁
Ndombwindo said: Vikwazo vimemuelemea Paka, ukitaka kumuua nyoka dili na kichwa... mkia ni behewa tu fata upepo... Click to expand... Fafanua kidogo mkuu jazia nyama😁