mapenzi

mapenzi

Ritts

Senior Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
136
Reaction score
33
Hivi ni kweli wanaume weupe hawajui mapenzi hebu nisaidieni wana jf
 
Kama ni jike test mziki wao kama ni mwanaume unawapondea kwa demu wako wasijekumegegea coz demu wako anashobokea weupe,mapenzi hayapimwi kwa ivo we niaje?
 
Hivi ni kweli wanaume weupe hawajui mapenzi hebu nisaidieni wana jf


Weupe au weusi wa mtu sio kipimo cha ujuzi wa mapenzi. Mapenzi is an art. Ujuzi ktk mapenzi hautegemei na rangi ya mtu bali ni utundu tu wa mhusika na kujua nini cha kufanya ili kumridhisha mwanani wako.
 
Back
Top Bottom