Roho inauma baada ya kugundua mpnz wangu anamtaka rafiki yangu nimejaribu kuuliza anadai its just joke tu ivi kweli kwny swala kama hilo kuna utan?nisaidien bandugu

Take care! we umejuaje kama wana uhusiano wa mapenzi???? watu wengi wanaendeshwa na 'emotions' baadae wanajuta. Inashangaza kuona baada ya kuwa na uhusiano na mtu mara nyingi huyo mwanaume au msichana hataki kuona mwenzake akiwa na marafiki wengine, kitu ambacho ni upuuzi. Ina maana hapo awali hakuwa na marafiki tena very close friends! kibaya mi naona ni uhusiano unaovuka mipaka but kama ni suala la marafiki tu hakuna shida maana kazini, mtaani hasa majirani lazima kuwe na dhana ya urafiki na hii ndiyo essence of any human being, that is ' Social Animal'