Mapenzi

Mapenzi

F183

Member
Joined
Jul 11, 2019
Posts
25
Reaction score
6
Jamani naomba msaada nilikuwa na muda mrefu xja sex kama 2 years na baada apo ninapoanza sex hata 30sec haziishi namaliza shoo na ngoma haiamuki tena na tatizo hili limenitokea kama mara saba ivi naombeni msaada wowote wa mawazo ushauri na tiba pia niepukane na jambo hili linanipa hofu sana
 
Acha kupulizana endelea kuwa mwanachama hai wa CHAPUTA.
 
Muda sasa nimeacha
Umefanya vizuri kuachana na CHAPUTA. Sasa ni muda wa wewe kutafuta tiba na kubadili lifestyle yako. Anza kutumia vyakula vya kiasili zaidi brother,
Jamani naomba msaada nilikuwa na muda mrefu xja sex kama 2 years na baada apo ninapoanza sex hata 30sec haziishi namaliza shoo na ngoma haiamuki tena na tatizo hili limenitokea kama mara saba ivi naombeni msaada wowote wa mawazo ushauri na tiba pia niepukane na jambo hili linanipa hofu sana
Bora hata wewe unakwenda hata 30 sec,
Kuna msela alidondosha gori lake kabla hajaingiza hata mkuyenge.
Alipotuambia tulimsikitikia sana, ila tulicheka sana aisee!
 
Achana na mapenzi mbona kuna mambo mengi ya msingi yakufanya duniani
 
Ulichokuwa unakifanya ndani yahiyo miaka miwili ndio endelea nacho mkuu usitujazie jam huku
 
Umefanya vizuri kuachana na CHAPUTA. Sasa ni muda wa wewe kutafuta tiba na kubadili lifestyle yako. Anza kutumia vyakula vya kiasili zaidi brother, Bora hata wewe unakwenda hata 30 sec,
Kuna msela alidondosha gori lake kabla hajaingiza hata mkuyenge.
Alipotuambia tulimsikitikia sana, ila tulicheka sana aisee!
Io kitu sio ya kucheka mkuu
 
Jamani naomba msaada nilikuwa na muda mrefu xja sex kama 2 years na baada apo ninapoanza sex hata 30sec haziishi namaliza shoo na ngoma haiamuki tena na tatizo hili limenitokea kama mara saba ivi naombeni msaada wowote wa mawazo ushauri na tiba pia niepukane na jambo hili linanipa hofu sana
Mkuu unaelekea kuwa shoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom