mapenzi

Tirestar

New Member
Jan 16, 2011
1
0
nini cha kufanya kama umekutana na msichana umempenda saana pia na yeye amekupenda, tatizo ana mshkaji wake na hataki kumsaliti, lakini pia mim ananipenda?
 
hapo hakuna mapenzi,wote mnadanganyana.maybe kwa kuwa umekuwa mpofu wa mapenzi,unaamini ya kuwa huyo msichana anakupenda.mapenzi ni ya watu 2 na sio ku share.shituka kaka kabla haijawa too late.aaaah,kupenda gani huko
 
Mmetamaniana tu kama amekupenda kikwelikweli asingejiuliza mara mbili kumwacha boyfriend wake.
 
Acheni tamaaa!!!Kama anakupenda kweli na hampendi tena huyo mpenzi wake amuache aje kwako!!!Ila na wewe ujiandae siku mwingine akijitokeza unaweza kupigwa chini hivyo hivyo!!!!
 
Mapenzi siku zote ndio yanavyokuwa kama vipi ampige chini jamaa then mkuu chukua chombo nadhani ndio njia rahisi,kwanza mshikaji ameoa???kama hajamwoa hamna noma na sioni problem hapo!!
 
20% acha tamaaa mbaya dogo,mbona wanawake wengi tu ckuhz,chagua wako bana,na ww wako akujakutongozwa utafurah akukisalit?
 
Huyo dada ni kicheche atapendaje wawili kwa wakati mmoja !!?. Achana nae.
 
Post ya kwanza unaanza na mapenzi....piga hodi basi....na hapa si mahali pake hii thread

duh! Geo bila shaka dogo keshaskia sifa za JF kwa utatuzi wa maswala ya mapenzi..2mpe nafasi bana.haha.hata hivyo wacha nikubonyezee.
 
siku hizi kila mtu anamtu na ukimkuta mwenye mtu na wewe kuwa mtu wa mtu, mtu akija anamwambia nakupenda mtu anapigwa chini anachukua mwingine na asiye na amtu anapata mtu basi ni kila mtu na mtu....................holaaaaaaaaaree
 
Just treat her like a friend! Hata kama unampenda haina maana awe mpenzi wako. A woman can be your friend just like your other friends. Hold on brother, mheshimu kama rafiki tu. Tayari ana mwenzake huyo!!!
 
Back
Top Bottom