Mapenzi yataniua

Mkuu nilimlipia hiyo mara moja tu.....nisingeweza mlipia tena coz pale alikuwa ameweka bili
Bili ikiisha wewe utamlipia tena. Eroo acha ufala. Wanawake wengi. Zingatia masomo ukiwa unawaza future ya mwanao na mkeo. Kimbia zinaa
 
Sawa nduguye Miss Tanzania
Dada wacha kejeli.....bhana....huu ni mkasa ambao umenitokea kabisa....sina muda wakupoteza ili kutunga hadithi...nimejaribu kuelezea yote yaliyonitokea kuhusu mimi na binti huyu wa kihaya....
Alafu wewe ni mpotoshaji mkubwa sana...wapi nimeandika kuwa nilifanya kazi miaka ya nyuma???UKISEMA UKWELI HUNA CHA KUKUMBUKA ....kama huniamini kuhusu mkasa huu wa ukweli kabisa maishani mwangu nitumie namba ako PM nkupe evidence zakutosha ikiwezekana tuonane macho kwa macho nipo tayari
 
Sijaisoma yote, ndefu mno...paraphrase kdogo najua boom lipo MB nyinhi
 
Wwe achana na hzo ndg yang mana utawajaza mimba chuo chote hicho afu maisha nondo uku uswahiini utawalisha nini??soma
 
Tetemeko la Penzi na binti kageraaa
 
man pm chuo unachosoma ,maana kama vile naona manyoa
 
kama unasoma ualimu endelea uwezi Ku disco ila kama ni course zile somo joja sijui acts 200+ jiandae kurudi moshi Mapema
 
Msichana amesex mara moja kwa kulazimishwa wewe wa pili lakini anajua kama wewe uko vizuri katika kusex? Hii ni chai.

Kwa kuonesha kua umri wako ni tatizo, unasingizia kosa ulilolifanya limetokana na chuo kuwa na majaribu, grow up take responsibility for every mistake you make.

Huyo mtoto wa chuo ndoa haiwezi kutokea na hata yule wa nyumbani haiwezekani. Hii ni kwakua wewe bado mtoto hujakutana na vitu vingi ambavyo vinaweza kukufanya ukitia nia ya kitu basi kiwe kama unavyotaka.

Njia nyepesi kama una hamu ujulikane una mke na mtoto acha sms zikutwe kisha anza kujitetea.
 

Hapa umenena ndugu....nashukuru sana hii ndo target yangu ashtukie mwenyewe kuwa tayari nko nafamily
 
Kuna mambo makubwa mawili ktk maisha hsa mahusiano uukiwa chuoni mosi probability of event to occur lkn la pili ni impact of an event after occuring sasa hya yte ynkuja ukiwa hfnyi tathimmini ktk kila jmbo unalolifanya kwa maana unaona ni sawa tu kufnya kila k2 wkt sio sawa before u start anything learn how to finish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…