Mapenzi yataniua

Hivi UDOM ndio chuo kikubwa na maarufu zaidi East and Central Africa, huh? Just playing.

Meku bana, utoto na "uchaga" ndio tatizo hapa. Njia ya muongo ni fupi mazee, usipoangalia utapoteza vyote.

Halafu jifunze kupunguza hizo swaga za "chuo kikuu" kila mara, chuo inatosha mkuu.
 
Kati ya wajinga wa hii dunia na wewe utakuwa mmoja wao! !!na hiyo elimu yako unasema unayo bado huna utambuzi!!!!!hakuna mchaga mwenye hiyo akili yako! mana akili yako ni ya choon to.
Usiombee yakakukuta mapenzi hayachagui kabila
 
Haahaa uongo unani cost mkuu
 
Jifunzeni kutunga tunbo zenu c kukopy na kupaste only mnabadilisha heading na jinsia Hapo Unataka ushauriwe nini
 
miaka 20 uko chuo (tuseme first year)
miaka 20 una mke na mtoto
miaka 20 umeshafanya biashara na ni mtu wa madili
miaka 20 umebemenda mtoto wa watu hostel rum wanakaa watu wanne wakibebana wanakua 8 (illogical)

mkuu inabidi hii riwaya shigongo asiiache
 
We endelea tu...mana mkeo nae kuna chalii anapga...so n ngoma droo
 
ACHA UTOTO, ACHA KUCHANGANYA MAPENZI NA SHULE, Kama ungetumia muda kuandika business proposal ya ukubwa huuu nadhani Tanzania ya viwanda ingewezekana mapema sana na mngeacha kusema tunafundishwa theory hakuna practical skills
 
Huyu bwashee ni shida,na umekula mzigo bila kutumia siraha kujilinda!..
 
Yaaaan matatzo umeanza yaona baada ya kumega tunda. You ddnt see it coming huuh.???
 
Miaka 20 una mke na mtt?!...acheni kutuletea tamthilia
 

Unafahamu katika Sala ya Bwana kuna mstari unasema "...usitutie majaribuni, bali utuoke na yule mwovu...". Sasa wewe uliibadilisha sala na kuwa "...usitutie majaribuni, bali tutajipeleka wenyewe..."

Umewezaje kufanya kitu kama hicho na una mtoto na mke home? Ulimwahidi mke wako kwamba utalinda penzi lenu, na umeamua kumsaliti.

Yote yang'aayo sio dhahabu. Watch out!

Chagua kati ya mke na mtoto wako, au huyo binti. Tukiwaweka kwenye mizani, upande upi ni mzito kuliko mwingine?Think about it!
 
Mbona unaudhalilisha ulokole? Hakuna mlokole wa hivo, huyo pamoja na wewe wote wazinzi wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…