Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

when i was a young boy in primary school nyimbo ilibambaa
 
Kuja kuangalia OG lyrics dah nimeshindwa hata kuisoma labda nikivuta la Jamaica nitaielewa

Woyooooooooo nampendaje shaba ranks sijui yupo hai au kafa?!
Unatania au mara moja moja hakika huwa unatafuta cha jamaica?
 
Pliers na Chaka Demus walikuwa washindani wakubwa wa Shaba Ranks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…