Mapenzi yanawaachaje watu salama kwa mfano??

quen Gradie

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
16
Reaction score
11
Hii,
Mbona watu mapovu kiwango cha reli??
Mtakufa presha kisa mapenzi,

Mada ikitolewa sio lazima kuchangia,mjifunze kupita chochoro.
 
Utakua na stress sio bure!! Mwambie jamaa akaze vizuri usipate stress!!!
 
Gongo za asubuh hz

Triple A
 
Binti naona unatest mitambo...!!

Mapenzi hayakuachi salama..
 
si haba utakuwa umetelekezwa na watu wasiojulikana

anyaway pambana na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…