Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,304
- 939
Ngoja sikukuu ipite bana tule pilau la xmass halafu tule la maamuz magumu
Ama kweli.nikikataa wanaume watu wanasema ooh nimechanganyikiwa ni upuuzi kuwekeza kwenye mapenzi ,mwaka mzima umewekeza kwa mtu ona faida yake ila ungekuwa umewekeza kwenye maisha ungenunua japo vihisa vyako crdb au nmb siku kumi zijazo ungepata gawio lako japo dogo .asante Mungu kunipa uvumilivu .
pole sana mdada usijiue maisha ndivo yalivo humu