Mapenzi yanaumiza lakini usijiue

Mapenzi yanaumiza lakini usijiue

Aunt Lisa

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
72
Reaction score
26
Hellow wana Jamiiforums

Hivi wewe ungekua ni mzazi umemhangaika kwa hali na mali, kufa na kupona mtoto wako asome apatee elimu na maisha mazuri hapo baadae. Sometimes mnakula hata mlo mmoja ili mtoto asomee, lakini akiwa shule mfano secondary ama hata chuo unasikia alitaka kujiua kisa penzi, hivi huyo mtoto ungemfanyejee?

Kwa kweli ingenitokea mm hata sijui ningefanyaje.

Wewe je ungemfanyaje?
 
Huna cha kufanya...mm nwnyw mapenzi yameniumiza kichwa
 
Ni kumwomba tu Mungu usizao mario
 
ni maamuzi magumu kwakweli lkn na ugumu wake watu wengine bado wanajiua.. je hao wanamioyo midogo ama?
 
Kwakweli Mungu Asimame Vinginevyoo hili jambo ni gumuu mnoo kwa mwanadamu kulihimili..
 
(OUT OF TOPIC).. Aunt Lisa MI NAJARIBU KUTAFAKARI SIGNATURE YAKO NA ULICHOANDIKA....
 
Apo unazungumzia kwa mwanao wa kike.. je wakiume unamfanyaje huyu?
 
Sasa utafanyaje wakati tayari amejiua? Huwezi kuzuia matokeo!
 
Sasa utafanyaje wakati tayari amejiua? Huwezi kuzuia matokeo!
nooo hapo hajafaa.. ila alitaka kujiua afu akawa amekua saved kwaiyo wewe kama mzazi unaitwa chuo ama shule unaambiwa mwanao alitaka kujiua kisa mapenzi.. je huyo mtoto unamfanyeje?
 
nooo hapo hajafaa.. ila alitaka kujiua afu akawa amekua saved kwaiyo wewe kama mzazi unaitwa chuo ama shule unaambiwa mwanao alitaka kujiua kisa mapenzi.. je huyo mtoto unamfanyeje?

ni wew umekutwa na hii ishu?
 
Ni kumpa nasaha/ushauri ili aweze kujiongoza mwenyewe, hatujaziliwa kwa ajili ya fulani life has to go on.
 
Kuna kila haja ya kuwa tunakaa na watoto wetu tunawapa lecture ya hii kitu mapenzi,kama vile yaliyomo kwenye kitabu.
Halafu kuwapenda na kuwaonyesha kuwa sisi wazazi ndio wapenzi wakweli kwenye maisha yao.

Wakija tendwa watachukulia kawaida maana waliisha taadhalishwa.vilevile kama itatokea wameumizwa watakumbuka kuwa kuna wazazi wanawapenda kuliko kitu kingine hii itakuwa ni destiny yao.
 
Back
Top Bottom