Haya ni matumizi mabaya ya Chuki.Naapa kabisa namchukia Sana huyo mwanamke
Hakumwaga chambichambiHukuwa mjanja kiasi cha kutosha.
Hii mbinu niliifanya 2010 nikiwa chuo,,Naona kama ume niabisha mimi ...japo sikujui[emoji41]
Chuo kizima ukashindwa kutafta na wewe dem mkali zaidi yake wa kufanya uyo dem aji shtukie
Mh2 mpo hivo tu,Sasa ipo ivi kipindi naanza chuo nilikutana na mdada mmoja tunasoma course moja tukazoeana lecture tukawa tunakaa wote namsainia na kumfanyia assignment asipokuwepo kiukweli ule ukaribu ulinifanya nimpende Sana but sio mzuri sana
Tuna karibia kumaliza first year nikamtongoza akachomoa na kuniambia yeye ana boyfriend apo chuoni wa course nyingine japo ni first year
Sikukata tamaa nikafanya survey nikajua kweli anae but jamaa hampendi ila demu anamganda hiyo ikanipa moyo tukaendelea ivo ivo na ukaribu wetu mda mwingi nakuwa nae tunaenda coco beach maana hostel zipo karibu na coco
Second year nikakomaa tena lakn nikagonga mwamba nikaamua ku give up but akawa mda wote ananitafuta niliendelea kumkwepa ilikuwa rahis kumkwepa maana m nilianza kuishi geto
Tatizo likanza magroup mengi tukawa tunapangwa wote kwahyo kumsahau nikashindwa tukaendelea tena kuwa karibu nikamtongoza akapotezea tena
Tukiwa mwaka wa mwisho tukapagwa field group moja huko kijijini wanawake Kumbe yule demu kuna mshikaji mwingine wa class anamla ubaya yule mshikaji chumba chake na changu vilikuwa karibu alaf ceiling board imetoboka sana kias kwamba sauti nazisikia niliumia sana na sidhan km nishaumiaga km kipind hicho wakati wa kula wanalishana wakawa km wananikomoa na huyo mshikaj alikuwa anajua kabisa kwamba me nnasota pale
Kibaya zaidi yule mshikaji ana mademu watatu wazuri Sana kuliko huyo na alikuwa anamla kwasababu yupo mbali na madem zake
Nilipitia kipind kigumu sana mawazo yakanizid sana nikawa natumia mda mwingi kulala nikaji isolate na group members nikajitahid kusikiliza Sana nyimbo nakumbuka wimbo wa Juice world LUCID DREAM ndo niliusikiliza Sana hatimaye field ikaisha
Tulivyorudi chuo nikafuta namba zake na kukata mazoea kabisa tukikutana bahat mbaya tunasalimiana basi
Tukafanikiwa kumaliza chuo kila mtu akarudi kwao akawa ananitafuta ananiambia amenimiss namjibu asante
Naapa kabisa namchukia Sana huyo mwanamke
Mh!..wa kuogopwaMimi nilimpenda mkaka mmoja alikuwa second year na alikuwa na girlfriend wake,nikawachonganisha wakaachana,nikachukua nafasi
Nimejikuta nacheka kwa sauti aiseeMimi nilimpenda mkaka mmoja alikuwa second year na alikuwa na girlfriend wake,nikawachonganisha wakaachana,nikachukua nafasi
SawaMimi nilimpenda mkaka mmoja alikuwa second year na alikuwa na girlfriend wake,nikawachonganisha wakaachana,nikachukua nafasi
Mimi nilimpenda mkaka mmoja alikuwa second year na alikuwa na girlfriend wake,nikawachonganisha wakaachana,nikachukua nafasi