Hawezi kudate na kinyeramumo kama wewe. Tafta mpenz mpya tu braza.Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!
Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!
Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.
Inauma sana
Huyo kinyeramumo tu...Hawezi kuwa mwanaume.Wanaume tunapungua kwa kasi ya 5g+
"Ukiona mtu hakutaki si unatfta mshkaji mwengine...Sasa we utaendelea kuhangaika kila saa unatuma tuma meseji?"Chukua Ushauri Aliowahi Kuutoa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Dah... Tarime moja hii ,Msariti shuruti auwawe. Una sariti vipi mtu na rafiki yake ? Wewe ni wa kupigwa kabisa viboko
ππππ€£π πππ€£πππ"Ukiona mtu hakutaki si unatfta mshkaji mwengine...Sasa we utaendelea kuhangaika kila saa unatuma tuma meseji?"
Jamaa sijui alikula za uso mahaliπππ inaonekana ana uzoefu na vibuti!ππππ€£π πππ€£πππ
Huo Huo
Utakaa Unatuma Message Na Tule Tualama Twa Kulia!!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ukiwa na mpenzi, uwe teari kuingia gharama zote. Ama sivyo, kuwa single. Wanaume kazi yetu ni kuhudumia wadada. Yani katika uhusiano, mdada ndio anafaidi kifedha. Mwanaume sijui unafaidi status au nini sababu raha za penzi hata yeye anapata. Ngojea wenzako wata-enjoy sasa.Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!
Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!
Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.
Inauma sana
KabisaHuyo kinyeramumo tu...Hawezi kuwa mwanaume.
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji