mbona mambo madogo tu hayo?
ila mapenzi ni pata potea, ukipata raha, ukilamba gharasa unajiuguza nafsi siku mbili tatu kisha maisha yanaendelea
Mmmhhh wewe ulipewa lift unataka kupiga honi
he makubwa ndo walewale unamtega mchumba unajifanya sio ww kupitia namba nyingine harafu unamtongoza haya ss na akikubali pressure
Ulitaka kujua ukweli na umeupata, mshukuru Mungu kwa kukusaidia kuujua ukweli maana huyo alikuwa akimliwaza na kumsaidia kifedha wewe ukiwa masomoni na inaonekana amekolea kwake, ila ukae ukijua kumpata bikra ni kazi kweli kweli kama jinsi ambavyo wewe sio bikra.
Haha. dogo una maneno!
Pole xana Mi mwenyewe yamenikuta xoon ntawaletea stor nzma.
sitafti bikra tena nataka hata used ambaye nae awe alishawah tendwa ili tusijerudia tena makoxa na kuumizana tena