Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
soma kijana....hivi una wazazi kweli?
Hahahaha!! unakuta kisimu hakina salio halafu unamnunulia mwingine salio ili uonekane mko pamoja.
Shule ya mixture ikoje?
miaka 18
jamani me sio kama sisomi,katika mitihani tuliofanya niliongoza darasa bt nahitaji kuwa na mtu ambaye tunaweza kusaidiana