Mapenzi yananitesa mwenzenu

Status
Not open for further replies.
Hyo bugando wanafunz ni vicheche balaa,nlijichanganya kwa mmoja hakuna rangi nliacha onaa
Mimi naishi maeneo ya Mtaa wa Bugando hapa karibu kabisa na walipopanga hawa vijana wasomi wa hiki chuo kikuu cha Bugando, aisee nikiri tu ya kua vijana wanatombna hatari sana!!! Kuna dogo ni jirani angu hapa kila siku naona vifaa vipya vipya vyeupe vinaingia room kwake jioni na kutoka mornie vikiwa vimetepeta.

Ila pia wastaarabu wapo nawaona wako serious na maisha!
 
Mapenzi ni...
1. Kugusanisha vikojoleo
2. Care

Kipi kinachokutesa hapo?
 
Vijana na hata watu wazima tusisahau kwamba tunachokitafsiri kama mapenzi ni kipengele kimoja tuu ndani ya mahusiano yenye vipengele vingi muhimu
Kwani mapenzi basi

Ni wivu wa kijinga tu
 
Muendelezo;iko hivi yani sijawahi kubahatika na mahusiano toka nianze kuyajua yan kila siku nalizwa mm tu the bad thing nikipenda mtu natumbukia miguu yote miwili bas nikapata a boyfriend akaniaminisha that he is mine ...

Sindo nikadumbukia mzima mzima tukikutana anakagua sm yangu mpka yan mipango kando yote nikaiblockilia mbali na kudelete everything bas ikawa asipo nitext yeye no other message itaingia lbd marafk zangu tu lakin mm sijawahi kushika simu yake na sipendagi kushika simu kwasababu huko nyuma uhusiano wangu m1 ulivunjika kwaajili ya kushika sm ya mwanaume so nikapata funzo

Lakini tukionana simu yake alikuwa anaificha sana had nikaanza kupata walakini mara aiweke uvunguni mara aende nayo chooni bas kuna siku akaiweka mezani message ikaingia na ime seviwa kwa jina la mahaba nilivyoona hvyo ikabd nichukue my phone nikapiga nione mm nme seviwa nan kuangalia najiona nmeseviwa jina langu akaja nikajifanya lyk something doesnt exist huku nkiendelea na uchunguzi nikaja kujua kuwa kumbe ana mwanamke wake na mtt.

Ndo nkamwambia naomba unielezee ukweli akanambia bwana huyo mwanamke tulikuwa tunaishi ila hatukufunga ndoa and tumegombana kwa sasa lkn mm i love you nkasema oky bcoz nakupenda nkaendelea nae lkn kila sk vitimbwi tu ubize mwingi nk yan kila siku naumia nalia tu
...hivi hapa kuna upendo kwel au ndo napotezewa muda tu
 
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...
Hahahahahah kwenda kanisani ni muhimu ila si unaona watu wanakataa mambo ya ndoa hawataki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…