Mtoto Marioo sio poa.Ukiniona naliaaaaaa, nifute machoziiiiii, mana ukiniona nalia nalilia mapenziiiiii oyeeeee..... Ntintitititititiriiiii
Hyo bugando wanafunz ni vicheche balaa,nlijichanganya kwa mmoja hakuna rangi nliacha onaaKama uko serious njoo tuwe wapenzi niko mwanza nasoma bugando @ kama vp unaweza kuja tuyajenge tuwe wapenzi tuwe wapenzi mimi nitakujali sana@ Mama angu
nyie mwenzenu mapenzi yananitesa sana nikisema niyaache niwe single nafall tena kama kuna mshauri anisaidie ntakufa ety
@mama D asee hyo mwayego umenikumbusha mbaliii....Pole mwayego
@mama D asee hyo mwayego umenikumbusha mbaliii....
Beeer Tamu !๐บ๐คฃKunywa bia acha kulia lia
Tatizo lenu ni kuendekeza ujinga, fucc hard until your brains feel free then tafta hela tu! Hii dunia sio yetu...
Tafta mtu wa kukuchuja kisha pambania life lako tu usonge mbele mkuu! Ukijihisi unataka watoto zalisha mtu au beba mimba ya mtu unayempenda kisha kuwa responsible na watoto wako ishi maisha yako.
Mapenzi sio magumu kiasi hicho ila kukaza ubongo ndo kunatutesa wengi!
Hahahahah sawa ila mapenzi yana tafsiri tofauti kwa kila mtu! Kwangu mie mapenzi ni majukumu ila kwa wengine mapenzi ni starehe tu kama pombe na sigara ๐คฉ!Vijana na hata watu wazima tusisahau kwamba tunachokitafsiri kama mapenzi ni kipengele kimoja tuu ndani ya mahusiano yenye vipengele vingi muhimu
M naona tuungane tu yatutese wote kidogo itakua afadhali..Hata Mimi nateseka jamani....
Kama wewe ni Ke karbu kwangu milango ipo wazi utapendwa plus mihela mpaka ukimbie mwenyewe.Lakin kama ni Me kapige Punyeto ikutoe mawazo
It's true true luv ipo. Swali ni kwamba are you lucky enough kuipata katika kipindi cha uhai wako?Aukufi ila chamoto utakiona.Pole ila kama unaweza kulia lia hasaaa alaf songa mbele, true love ipo usiogope
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...Tatizo lenu ni kuendekeza ujinga, fucc hard until your brains feel free then tafta hela tu! Hii dunia sio yetu...
Tafta mtu wa kukuchuja kisha pambania life lako tu usonge mbele mkuu! Ukijihisi unataka watoto zalisha mtu au beba mimba ya mtu unayempenda kisha kuwa responsible na watoto wako ishi maisha yako.
Mapenzi sio magumu kiasi hicho ila kukaza ubongo ndo kunatutesa wengi!