habari za asubuhi wana jf wenzangu,,mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,,kama umeshndwa kuish bila yeye mbona yeye anaish bila ww ndo maana hatak tena kuwa na ww PIGA CHNI USIMTAFUTE TENA KWA TAKRIBAN WIK MBILI UTAMWONA ANAVOKUTAFUTA ASIPOKUTAFUTA UJUE KASHAPATA MJANJA MWNGNE HAINA HAJA MKUU KUWA NAE ALITAKA SABABU YA KUACHANA NA WW KAIPATA,WADADA WENG KAMA NJUGU YY SIYO MALAIKA!
Achananae wanawake kibao,tafuta mkeo uoe mtasikilizana zaid kuliko huyo,na zaid huna mtt pia gheri pengine umfate mwishowe alupe ukimwi wala usimdhuru wala lufikiria hayana maana utakuj kujuta nakujikuta jela pas na sbb
now nina 29,,nilifanya uamuzi huo sababu niliona mambo yanaenda sivyo maana niliona kabadilika tofauti na nilivyomzoea,,nimekaa nae sana lakini hana sababu maalum
Mtamamchungu just ignore her. Yaani all these women out here unaumiza na mmoja? Kama umebembeleza na bado hakieleweki basi piga chini endelea na maisha.
habari za asubuhi wana jf wenzangu,,mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,,nimemuomba radhi sana lakini ameendelea kushika msimamo wake kwamba hawezi kurudiana na mm na tuwe marafiki tu,,
muda mwingine nafikiria bora nimwagie hata tindikali tu ili na yeye asikie maumivu kama ninayopata mm,,kwa kweli nimehathirika kisaikolojia mpaka nashindwa kula wala kulala,,naombeni ushauri wenu jamani