Mapenzi yana run dunia

Kuna kitu watu hawajagundua.. Bro, ukiona mapenzi yanakuzingua ujue una nyota ya utajiri. Potezea mapenzi (yape muda kiduchu sana), jikite zaidi kwenye shughuli unayoifanya utapata mafanikio makubwa sana
 
MTU ROJOROJO KAMA MILLARD AYO SIDHANI KAMA ANA PUMZI ZA KUWAMUDU MADEMU WA MWANZA,HAWATAKI WALA CHIPS WALE MADEMU
Yule dogo aachane tu na suala la mademu, aendelee kujipigia punyeto tu afurahishe roho yake. Mapenzi hayataki wanaume rojorojo kama wa Dar, kitu kidogo tu eti unalia.
 
Dogo wapi

Mtu humfikiii hata nusu kiuchumi unaleta dharahu
 
kuhusu Mwakinyo umesema uongo, yeye ndiyo alimpa ruhusa aolewe tena kiroho Safi. Hiyo interview hata mm niliiangalia
 
Kwani wapi nimesema hajampa ruhusa soma title ya thread then niambie hapo ambapo pamekosewa nirekebishe mkuu maana tuna tofautiana uelewa

Waiting.
 
🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…