Mapenzi yana nguvu sana

Kama ni mapenzi mama wapo waliopendana kama kumbi kumbi,
kumbi kumbi ooo wanapendana sana hata wakati wa kutembea utawaona bibi mbeleee bwana nyuma


leo naimba tu
chidimule huyo
nema digitali kama hammjui mlale
 

 
Eti my honey wake....hapo tu ndio pamenifurahisha.
 
mimi nilifikiria rabda demu amekataa kuelewa ndio sababu ya ugonjwa wa bro wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…