Mapenzi yameurarua moyo wangu

Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,380
1,845
Jamani wana jamnvi,

Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.

Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.

Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.

Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
 
Hahahahahahaahah ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO Wewe kuwa fair to habari za kupenda njoo mpende wife kimachale akifyetuwa vitoto kama mimi hapa nampenda kwa mbaliiiiiii
 


Mliisha ambiwa siku nyingi mambinti wa vyuoni wa enzi hizi za dot.com wengi wao hawajatuliaaaa......
 
Duuuuh!! Hatareee cpat picha ulivokuwa unaisikilizia voice yake ulikuwa kweny hali gan mkuu,ila usimuulize wala nn Fanya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…