Mapenzi yameurarua moyo wangu

Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,356
1,804
Jamani wana jamnvi,

Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.

Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.

Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.

Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
 
Hahahahahahaahah ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO o_O Wewe kuwa fair to habari za kupenda njoo mpende wife kimachale akifyetuwa vitoto kama mimi hapa nampenda kwa mbaliiiiiii
 
Jamani wana janvi.. Hivi Karbun nlianza kutia shaka nyendo za mpnz wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini... Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, Kwa Siku za Karbun amekuwa akidai ana msululu wa test kias kwamba anahtaji break kidogo.. apate mda kidogo wa kujisomea zaid na marafiki zake.. (group discussion) mi hewala bhana Ckuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA Kali bhas Kher..
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo..
Ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua Kupachika kinasa sauti Chumban kwake ki Intelligencia Ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafik zake kias cha mimi kutomjulia hali ni zipi..
Baada ya kuwa nmepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo Cku ya mapumziko Nmeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari
Ni binti kachezeshwa Gwaride la kiutu uzima.. Na dalili zote za mchezo haramu..
Najarbu kutupia kipande cha recordings nashindwa..
Ila kiufupi.. Huyu mpenz mwana zuoni amenshinda tabia..

NB.. Mwenye kuweza kunielekeza namna ya kuapload audio anielekez Ili niweze kuleta Japo kipande kimoja cha recordings hizo.


Mliisha ambiwa siku nyingi mambinti wa vyuoni wa enzi hizi za dot.com wengi wao hawajatuliaaaa......
 
Duuuuh!! Hatareee cpat picha ulivokuwa unaisikilizia voice yake ulikuwa kweny hali gan mkuu,ila usimuulize wala nn Fanya yako
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom