Mapenzi yamenibadilisha mno

Ongeza watoto Pastor Muyamba! Usitishike. Kama itatokea mkuu wetu akaupitia huu uzi wako, anaweza hata kukuzawadia burungutu la hela! maana alishaturuhusu kitambo tufyatue tu kwa sababu tuna ardhi ya kutosha na nchi yetu ni kubwa sana hii! Hatuna kabisa kesi za overpopilation!
 
Jiandae kufa masikini mkuu, kama huwezi kuzi control sexual desire zako jiandae na consequences zinazokuja hivi punde na you gonna pay a heavy price. Mambo matatu ya kukusaidia kwa haraka, bado hujachelewa (1) Tafuta investment ambayo itakushughulisha sana na kusahau hayo mambo (2) Angalia kizazi chako, watoto mkuu waangalie kwa jicho la huruma sana, na ubaya wa dhambi ya uzinzi ni kuwa ni deni na lazima lije kulipwa the dipper you fuc*** the heavier the price you pay, jee upo tayari Binti zako nao waje kugeuka punda kila mwanaume anapanda? wahurumie wanao mkuu. (3) Pindua fikra za Maisha yako jaribu kuji connect na waliofanikiwa upate idea Zaidi na kuichukulia fedha kwanza kuliko starehe.
 
Tatzo ujanani huku ruka ndugu
Endelea kuchepuka ukipata uzoefu utaweza kuji control vzr tuu
 
Hayo ni maajabu ya 7 ya Dunia, wanawake 2 wna mimba 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…