mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Kwani kuna wanawake wa kuoa siku hizi ,2namalizana hapo hapo then kila mtu anajisepa
Utaishia kusema hivyo hivyo... Wenzio wanaoa..!!
Kwani kuna wanawake wa kuoa siku hizi ,2namalizana hapo hapo then kila mtu anajisepa
kwani kuna wanaume wa kuoa siku hizi?tunamalizana hapo hapo tunakung'uta vumbi tunaondoka.
Chukua 5 ASNAM, Siku ukijisikia unataka kukung'unta vumbi ni PM, nikiwa karibu nakuja tukung'unte vumbi.
hahahaha unapenda vya dezoooo eeeeh starehe gharama.
Gharama siyo tatizo, nasubili taa ya kijani.