Mapenzi yalivonitia umasikini.

Kumbuka ni ndugu yangu alonitapeli nilimwamini asilimia 100, afu mkataba wa kaz unaniambia nitoe notice ya mwez mmoja kabla ya kuacha.

mjini hamna cha ndugu bora rafiki wa ukweli kuliko ndugu... Jitahidi kuwa na msimamo hasa kwenye mambo ya mahusiano uzuri wa mwanamke usikufanye ukatumia akili za kiuno badala ya kichwa. acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi, kwahiyo unaitwa baba nani?
 

Yaani n kweli Jiwe, Sikudhani kabisa kama ndugu yangu wa damu kabisa angeweza nisababishia majanga haya. Mbaya zaidi bora angenitapeli tu hela afu angenambia ukweli kua dili limebuma. Ye alinipa 100% kua niende fasta mkoa eti kabla nafasi haijachukuliwa na mtu mwingine. kumbe zotezuga tu. Aaaaaah inauma!
 
kwa nini ulitoa notice kabla hujasign mkataba?
Mwenyeji wangu alinambia nahitajika haraka nikaanze job mkoani, akaniunganisha na Director nikaongea naye kwenye simu hivo nikaamini 100%.
 

Ndio hivyo kaka tunajifunza kutokana na makosa jipange upya..
 

well said
 

Shit happens, jipange mambo yatakuwa poa, ila uwe mwangalifu sana na maamuzi yoyote kwenye maisha yako, otherwise uwe responsible kwa outcomes, usilalamike sana
 
pole, lakini ndio ukweli nilioona.

Jifunze kufanya maamuzi yako mwenyewe hasa unapokuwa na familia.

Ishi maisha unayoweza kuyamudu bila kukosa usingizi, utakuwa na amani zaidi.

Kazi utapata tu, ila hili liwe somo lisipite hivi hivi.

Hapo umenigusa,jifunze kufanya maamuzi yako mwenyewe,si mapenzi yaliyokufanya maskini ila hukutumia vizuri akili yako katika kupanga maisha ili mwisho wa siku utimize malengo yako.ni hayo tu!
 
Mh!ina maana huyu mchuchu wako hako kamshahara kake yeye
alikuwa anajipodolea tu???
Duuh!kweli umekula za uso we kama vp kacheze kiduku kwa shallow millionaire tu.
 
Pole sana , ila ulitakiwa ubalance equation kabla ya kutoa maamuzi, cku zote b4 making such decisions look at both sides of the coin then utajua ufanyeje.. lazma ulitakiwa ufikirie kama ukikosa kazi ungefanyaje sio kujiachilia moja kwa moja kama ulivyofanya na kwa kujua kbs unayo majukumu makubwa mbeleni. Ushauri, endelea tu kutafuta kazi God is great utapata tu na kwa sasa usichague sana. Ukiwa na pakujishikiza ni rahisi kupata nyingine nzurizaidi.
 
Ahsante mkuu. mi ni Accountant na experience 3 yrs, need more details please tell niku pm.

Meru community Bank wanahitaji internal Auditor but katika course yako uwe umesomea auditing,so waweza apply kama uko na hizo qualification.

Halafu cku zote try to be responsible for your mistakes na sio kuput blames kwa watu wengine
 

mwanaume hutakiwi kudidimia kwenye makosa ulofanya.. unapotea wakati wa kwenda ukirudi ushakuwa mjanja... mpende mweni wako...akupe sapoti kipindi hiki cha mpito.. kaza kalio..ukiwa na juhudi utarejea ktk mstari..
 
Umenichukiza, wakati wengine wanatafuta watoto nyie mnawaua....kwani
THIRD NEWTONS LAW OF MOTION INASEMAJE?
TO EVERY ACTION THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION.....
Jamani raha zetu zitese viumbe wasio na hatia? Mwombe Mungu akusamehe dhambi hii ya mauaji, Mahusiano ni gharama...ulipokosea kuacha kazi huna kazi BIG MISTAKE NAKUSHAURI USIMLAUMU MTOTO WA WATU HANA HATIA NA MTOTO WAKE, MWACHE ALEE...MAISHA YAKIWA MAGUMU PANGENI SEHEMU YENYE GHARAMA YA CHINI KAFUNDISHE PREFORM ONE MWEZI UJAO HUWA INALIPA....UKIWA UNASIKILIZIA MICHONGO
 
Duh......hii kali, ila huwezi kulaumu maana maamuzi ulifanya mwenyewe na usiseme mapenzi yamesababisha ni maamuzi yako tu.

Binafsi nashukuru kwa somo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…