Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Hamsikii tu lakini Smile alishawaambia wazi kuwa K haiuzwi wala haitolewi bure
Piga chini......tafuta ambae hataki pesa.
Kwa jinsi tu unavyoandika hapa, hakuna la maana waweza kumpa zaidi ya pesa.
i think mr.you are just heading to hell.divorce should take place immeadiatelly,la si hivyo,utajikuta huendelei.usiendekeze mwanamke maana hana lolote huyo zaidi yakutaka pesa zako.
....wasiopenda pesa wanapatikana wapi ..??