Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Si umuambie moja kwa moja au unauhakika yumo humu?Nadhani mapenzi ya wizi ni matamu sana,kuna dada kamdanganya mmewe kua ana sup wakati hana yupo kwa mchepuko,kanogewa vibaya na nilimuuliza unafata nin akasema namfata J ananifanya kweli kweli,basi mmewe keshapiga simu balaa anadanganywa tu ,,ila kama mtu hauko tayari kuingia kwenye ndoa acha tu
Tulieni kwenye ndoa zenu waelekezeni waume zenu wawafanye mnavyotaka,,na kama mtu humtaki mwambie tu
Acha ukiherehere usiwe unaqoute uzi,halaf wanaoandika humu wanaowaandikia wapo humu,basi nimekuambia wewe ujumbe umefikaSi umuambie moja kwa moja au unauhakika yumo humu?
Huna mke unipe penzi wizi nioneNdito penzi la wizi tamu halafu la moto balaa.
Sema Mungu sikuhizi hasemi na binadamu ila ningesema naye ampe Sup 5.
Sasa naona vitu vingi sana vya ajabu,mtu uko naye si umuambie tu!Wabongo kwa umbeya!Acha ukiherehere usiwe unaqoute uzi,halaf wanaoandika humu wanaowaandikia wapo humu,basi nimekuambia wewe ujumbe umefika
Anamfanya au ana Mfira..... Kwani kabla ya kuingie kwenye hiyo ndoa hakuwa anafanywa na huyo mume wake au amekuja kujua kufanywa tofauti huko alikoenda kufanya supplimentary..Nadhani mapenzi ya wizi ni matamu sana,kuna dada kamdanganya mmewe kua ana sup wakati hana yupo kwa mchepuko,kanogewa vibaya na nilimuuliza unafata nin akasema namfata J ananifanya kweli kweli,basi mmewe keshapiga simu balaa anadanganywa tu ,,ila kama mtu hauko tayari kuingia kwenye ndoa acha tu
Tulieni kwenye ndoa zenu waelekezeni waume zenu wawafanye mnavyotaka,,na kama mtu humtaki mwambie tu
Yupo mama klaree wa Ngarenaro timbwili lake kubwa Nakupenda sitaki akulishe miraaHuna mke unipe penzi wizi nione
We mbeya namba one hapa umeitwa au kiranga chako,au ndio imekugusaaSasa naona vitu vingi sana vya ajabu,mtu uko naye si umuambie tu!Wabongo kwa umbeya!
Ndege wafananao huruka pamoja,kama ni rafiki yako na wewe hizo ni tabia zako.We mbeya namba one hapa umeitwa au kiranga chako,au ndio imekugusaa
Sawa ujumbe umefikaAnamfanya au ana M****..... Kwani kabla ya kuingie kwenye hiyo ndoa hakuwa anafanywa na huyo mume wake au amekuja kujua kufanywa tofauti huko alikoenda kufanya supplimentary..
Wanawake mnazidi kuzitia sugu Sehemu zenu za Kutolea haja kubwa na Ndogo Bure. I hate this
Wote nawe tabia zetu zile zile jiandae twende basi leo zamu yakoNdege wafananao huruka pamoja,kama ni rafiki yako na wewe hizo ni tabia zako.
Miraa nakula sana tu mbonaYupo mama klaree wa Ngarenaro timbwili lake kubwa Nakupenda sitaki akulishe miraa
leo zamu ya shangazi yako!Wote nawe tabia zetu zile zile jiandae twende basi leo zamu yako
Sawa na mama yako pialeo zamu ya shangazi yako!
Mama ameshafariki itakuwa ni mamaako akitoka shangazi yako!Sawa na mama yako pia