Mapenzi ya siku hizi

Acha ujinga dogo.. unakuja na ID mpya Ili tujue hujasoma Ile thread ya singo Maza?? Bora upotezee kabla hujataka kumrejesha kwenye himaya yako. Akirudi atakuja kukinukisha zaidi ya viza
 
Acha ujinga dogo.. unakuja na ID mpya Ili tujue hujasoma Ile thread ya singo Maza?? Bora upotezee kabla hujataka kumrejesha kwenye himaya yako. Akirudi atakuja kukinukisha zaidi ya viza
Mkuu sijajua unazungumzia single mama yupi? Hebu ongeza nyama kidogo Mkuu,alafu iyo ya kuniita dogo haijakaa poa sana maana mi ni Moja ya wahenga wa apa Jamvini!!
 
U SI I M B E M B E L E Z E ! Mkuu

Kwanza tayari ana mtoto hata ukibembeleza baba mtoto akijirudisha kwenye reli umeumkqza roho achana nae
 
Na Mimi Nina mtu wangu tuna miezi minne hakuna wa kumtafuta mwenzie kila mmoja anakula ngumu naonaga status zake Ila siangalii
 
Na Mimi Nina mtu wangu tuna miezi minne hakuna wa kumtafuta mwenzie kila mmoja anakula ngumu naonaga status zake Ila siangalii
Hayo mahusiano hayatofautiani sana na stori yangu.Kwa kifupi they died a natural death!!
 
Alikuwa anakupa mapenzi Moto moto ila hana Upendo na wewe. Mapenzi ni Sanaa lakini Upendo ni hisia zinazomsukuma mtu kupigania ustawi wa wengine.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…